Open top menu
Jumatatu, 2 Septemba 2013
Arsenal yashindwa, Man utd yachapwa na Liverpool

 Jan Vertonghen wa Tottenham Hotspur akimvuta jezi mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya England uliochezwa kwenye Uwanja wa Emirates. Arsenal walishinda bao 1-0.
 Kyle Walker (kushoto) wakigombania mpira na Aaron Ramsey (katikati)
 Kipa wa Tottenham Hotspur, Hugo Lloris (kushoto) akilala kumzuia Theo Walcott
 Etienne Capoue (kushoto) wakiwania mpira na Olivier Giroud
 Etienne Capoue akipambana na kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey
 Mshambuliaji wa Manchester United, Robin van Persie (kulia) akikosa bao katika mchezo wao dhidi ya Liverpool ambao walikubali kichapo cha bao 1-0
 Mshambuliaji wa West Bromwich Albion, Nicolas Anelka akipambana na Miguel Michu wa Swansea City katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa Swasea kushinda mabao 2-0
Mshambuliaji wa Houston Dynamo, Cam Weaver akipigwa kichwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Marekani MLS dhidi ya Chicago Fire uliochezwa kwenye Uwanja wa Toyota Park na kumalizika kwa sare ya mabao 1-1
Read more