Kiungo wa Chelsea, Lamires akimdhibiti kiungo wa Newcastle United
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akiwatoka wachezaji wa Fulham
Mshambuliaji wa Fulham, Dimitar Babertov akiruka juu kuwania mpira huku mabeki wa Manchester wakiwa makini
Kiungo wa Liverpool, Steven Gerard akimwangukia kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey
Beki wa Arsenal, Bakary Sagna akimweka chini mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez
0 comments