WAKATI ikiwa ni mapumziko timu ya Manchester City
wamebanwa mbavu ya Swansea na kulazimshwa sare ya mabao 1-1. Bao ya City limefungwa
na Fernandinho dakika ya 14 wakati Swansea walisawazisha dakika ya 45 kupitia
kwa Wilfried Bony.
Jumatano, 1 Januari 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments