Open top menu
Jumamosi, 16 Novemba 2013

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana usiku aliisaidia timu yake ya Ureno kufuzu fainali ya Kombe la Dunia Brazil baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wao dhidi ya Sweden.

Kwa ushindi huo Ronaldo amemwaga mshambuliaji wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic anayeichezea PSG ya Ufaransa ambaye naye alikuwa anaoingoza timu yake katika mbio za kuelekea Brazil.

Bao pekee la Ronaldo lilifungwa dakika ya 62 ambalo lilidumu hadi mwisho wa mchezo huo na kuifanya Ureno kufanikiwa kufuzu katika hatua ya makundi ya michuano hiyo.


 MATOKEO YA JANA YA KUFUZU BRAZIL
                    
Ugiriki       3 - 1  Romania
Ureno        1 - 0  Sweden
Ukraine      2 - 0  Ufaransa

Iceland       0 - 0  Croatia
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments