Open top menu
Ijumaa, 15 Novemba 2013

WAKIWA na mabao 48 na hat-tricks 7 kati yao Cristiano Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic watakuwa wakitupiwa jicho ili kuziwezesha nchi zao kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia nchini Brazil mwakani.

Na ni mmoja tu kati yao ndiye atakayeonekana kwenye fainali hizo baada ya michezo miwili ya hatua ya mtoano kuisaka tiketi ya fainali za kombe la dunia.

Ronaldo anayeichezea Real Madrid mwenye miaka 28, ana matumaini ya kuipeleka Ureno kwenye fainali za dunia kwa mara ya sita wakati Ibrahimovic mwenye miaka 32 anayeichezea Paris St-Germain ana lengo la kuipeleka Sweden kwenye fainali za kombe la dunia kwa mara ya tatu baada ya kukosa fainali za dunia 2010 nchini Africa Kusini.


Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments