Open top menu
Alhamisi, 29 Agosti 2013



Klabu ya Chelsea imemaliza ubishi baada ya kumsajili mshambualiaji mkongwe wa Cameroon, Samuel Eto'o kutoka katika klabu ya Urusi ya Anzhi Makhachkala.

Eto’o mwenye umri wa miaka 32 amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia klabu hiyo yenye maskani yake kwenye Uwanja wa Stanford Bridge ikiwa ni mchezaji wa pili wa Anzhi Makhachkala  kutua katika kikosi cha Jose Mourinho baada ya kumsanisha Mbrazil Willian.

"Najisikia kuwa hapa lakini maamuzi haya yametokea kwa kuwa nataka kucheza soka," alisema Eto'o alipohojiwa na tovuti ya Chelsea.

"Yalikuwa ni maamuzi magumu sana kutua Chelsea. Nimejua uwezo wa kisoka wa Chelsea na nimekuwa na furaha na Jose Mourinho kabla ya kutua hapa, hivyo bahati ilipotokea nimejisikia vizuri kuifanyia kazi.”
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments