Beki wa Liverpool, Sebastian Coates, akiwa katika machela
KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers, amethibitisha
kuwa mchezaji wake, Sebastian Coates, ataukosa msimu mzima baada ya kuumia
katika majukumu ya michezo ya kimataifa.
Rodgers
alisema kuwa Liverpool itaangalia uwezekano wa kusajili beki mwingine kabla ya
kufungwa kwa dirisha la usajili Septemba 2.
0 comments