Kimechafuka sasa Taifa!
Kadi ya pili ya njano kutolewa na mwamuzi Saanya inakwenda kwa Juma Nyosso kwa kumchezea vibaya Salum Telela, mpira unaonekana kuwa na msisimko na nguvu kwa pande mbili. Uangalifu unahitajika zaidi
Adhabu kwa Coastal, mpira unapigwa fyongo na David Luhende. Dakika ya 15
0 comments