Kazi imeanza
Mchezo umeanza kwa kasi dakika 5 zilizopita, Coastal wamefika langoni mwa Yanga dakika ya kwanza ya mchezo, lakini shamulizi lao limekuwa butu.
Juma Abdul yuko chini baada ya kugongana na Uhuru Selemani, lakini anaelekea kuendelea na mchezo.
0 comments