Open top menu
Jumatano, 28 Agosti 2013



Kikosi cha Fenerbahce



TIMU ya soka ya Fenerbahce imefungiwa kwa miaka miwili kushiriki katika mashindano ya Ulaya na Mahakam ya Usuluhishi ya masuala ya michezo ya kimataifa (CAS).


Tamko hilo limetolewa muda si mrefu nchini Uturuki, ambapo limetokana na kesi yao ya msingi ya kudaiwa kupanga matokeo katika michuano ya Ulaya msimu uliopita.


Miamba hiyo ya Uturuki ilichapwa jumla ya mabao 5-1 na Arsenal katika michuano ya awali kufuzu kwa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo ilifungwa 3-1 nchini kwao kabla ya jana kukubali kichapo cha mabao 2-0.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments