Open top menu
Jumapili, 25 Agosti 2013


 Shindano la Big Brother Africa msimu wa nane lililopewa jina la ‘The Chase’ limefikia kikomo leo na ni zamu ya Dillish.

Dillish raia wa Namibia ndiye aliyeibuka kidedea katika shindano hilo na kufanikiwa kubeba kitita cha dola 300,000. Mwanadada huyo alifanikiwa kubwaga washiriki wengine walioingia kwenye hatua ya tano bora.

Walioingia kwenye tano bora mbali ya Dillish ni Beverly, Melvin, Cleo na Elikem. Wa kwanza kutoa katika hatua hiyo alikuwa Beverly, akafuatiwa na Melvin kabla ya Elikem naye kuwafuata wenzake na wakabakia wawili Cleo na Dillish.

Pamoja na mchuano kuwa mkali kwa wawili hao lakini nyota ilimwangukia Mnamibia huyo na kutawazwa kuwa mshindi wa nane wa shindano hilo.

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments