Rhino Rangers 1-1 Simba
Hadi sasa, matokeo katika Uwanja wa Ally Hassan Mwinyi mjini Tabora, ambapo timu ya Rhino Rangers inamenyana na mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, ni 1-1, tutaendelea kuwa juza mambo zaidi yatakavyokuwa, tafadhali baki nasi!
0 comments