Open top menu
Alhamisi, 22 Agosti 2013



MCHEZA tenisi namba tatu kwa ubora kwa wanawake duniani, Maria Sharapova amejiondoa katika michuano ya  U.S. Open 2013 inayotarajiwa kuanza Jumatatu ijayo jijini New York, Marekani.

Sharapova amefikia uamuzi huo kwa lengo la kujipa muda ili auguze majeraha yake ya bega lake la kulia, nyota huyo hakuonekana uwanjani kwa muda mrefu toka alipotolewa katika raundi ya pili katika michuano ya Wimbledon mwezi Juni mwaka huu.

Mrembo huyo ambaye amecheza mechi moja ya mashindano toka aumie, pamoja na kuonekana kurudi uwanjani wiki iliyopita akiutuymia jina jipya la "Maria Sugarpova," lakini hatashiriki mashindano hayo makubwa katika tenisi hadi awe fiti zaidi.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments