Open top menu
Jumapili, 25 Agosti 2013

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya, Izzo Business na Barnaba wakitumbuiza kwenye tamasha la Kili Music Tour lililofanyika juzi kwenye Ukumbi wa New Mbeya City Mjini Mbeya.
 Msanii wa Hip Hop nchini Farid Kubanda akitoa burudani kwenye tamasha la Kili Music Tour.
Profesa Jay naye hakuwa nyuma katika kuzikonga nyoyo za mashabiki waliojitokeza katika tamasha la Kili Muzic Tour.
 Snura akifanya vitu vyake kwenye tamasha la Kili Music Tour.
 Umati wa mashabiki wa muziki nchini uliojitokeza kushuhudia tamasha hilo lililofanyka kwenye Ukumbi wa New Mbeya City Mjini  Mbeya.

Msanii wa muziki wa asili mkoani Mbeya, Awilo akiwa jukwaani kutoa burudani katika tamasha la Kili Music Tour.
 Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba Elius ‘Barnaba’ akitumbiza kwenye tamasha hilo.

Mkali wa R&B Tanzania, Ben Paul akiwaburudisha mashabiki kwenye tamasha la Kili Music Tour.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments