Open top menu
Jumamosi, 24 Agosti 2013


Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete akishangilia
 
 
Dakika ya 11, Jerryson Tegete anaiandikia Yanga bao la kwanza dhidi ya Ashanti United. Endelea kufuatilia mpambano wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Ashanti upate mengi juu ya Ligi Kuu ya Bara.

Ligi Kuu Tanzania Baraimeanza leo katika viwanja saba vya Tanzania, ambapo mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu. Simba, wako mkoani Tabora kumenyana na Rhoino Rangers ya huko, na hadi sasa matokeo bado ni suluhu. Endelea kufuatrilia Nyumba ya Michezo na Burudani kwa matokeo zaidi.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments