Open top menu
Jumanne, 17 Septemba 2013



TIMU ya Liverpool jana nilirudi kwenye usukani wa Ligi Kuu ya England baada ya ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Swansea katika mchezo uliochezwa ugenini.

Liverpool wanashika usukani wa ligi hiyo wakiwa na pointi 10 baada ya kucheza michezo mnne na kufanikiwa kushinda michezo mitatu huku wakitoka sare mchezo mmoja wa jana usiku.

Swansea ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kuondoza dakika ya 2 lililofungwa na Jonjo Shelvey kabla ya Daniel Sturridge kuswazisha dakika mbili baadaye.

Liverpool walipata bao la kuongoza dakika ya 36 kupitia kwa mshambulaiji wake, Victor Moses lakini Swansea walisawazisha bao hilo dakika ya 64 mfungaji wakiwa Michu.




Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments