Open top menu
Jumatatu, 23 Septemba 2013


Refa, Said Chaku kulia akionyesha ishara ya kumaliza mpambano wa ngumi kati ya Adam Ngange na Issa Matumla ambao umemalizika kwa Ngange kushinda kwa KO raundi ya pili. Mpambano huo uliofanyika jana katika Ukumbi wa Kilimahewa, Chanika Kigogo Fresh. Kushoto ni mashabiki wakimbeba Ngange na kushangilia ushindi huo.
Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla

Refa Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments