Open top menu
Jumatatu, 16 Septemba 2013


Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Angetile Osia (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu za vijana za wasichana na wavulana za Artel Rising Stars. 

TIMU za mpira wa miguu za vijana za wasichana na wavulana za Airtel Rising Stars, zinatarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars yanayotarajia kuanza mwishoni mwa wiki hii. 
Angetile Osia (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, nahodha wa timu ya vijana ya wasichana ya Artel Rising Stars, Stumai Abdallah.
Angetile Osia (kushoto) akimkabidhi bendera, nahodha wa timu ya wavulana ya Airtel Rising Stars, Athanas Shindeka.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments