Open top menu
Jumatatu, 16 Septemba 2013

HATARIII! Msanii wa kizazi kipya, Zuwena Mophamed 'Shilole' (mwenye njano), akikatika huku akiimba mbele ya shabiki wake aliyepagawa na miondoko yake katika tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.

Hapa sasa mzuka ukawa juu zaidi, shabiki kaona mambo mazuri acha aendelee!


Wasanii Mheshimiwa Temba na Chege wa Wanaume Family nao walikuwepo kukinukisha katika Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, lilipofanyika tamasha la Serengeti Fiesta jana.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments