Open top menu
Jumanne, 24 Septemba 2013


TIMU ya Ashanti baada ya kuanza vibaya katika Ligi Kuu Tanzania Bara kesho inatarajia kujiuliza na Rhino Rangers katika mchezo pekee wa ligi hiyo utakaochezwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora.

Wakati Rhino Rangers ilitoka sare ya bao 1-1 katika mechi yake iliyopita jijini Tanga dhidi ya Mgambo Shooting Stars, Ashanti United inashuka uwanjani huku ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kutandikwa mabao 3-0 na Kagera Sugar katika mechi iliyochezwa Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments