Open top menu
Alhamisi, 19 Septemba 2013


 MABAO mawili ya Theo Walcott na Aaron Ramsey yalitosha kuihakikishia timu ya Arsenal ushindi wa mabao 2-1 wakiwa ugenini katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Marseille.


Katika mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa, Arsenal ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Walcott dakika ya 64 kabla ya kuongeza la pili dakika ya 83 lililofungwa na Ramsey.

bao la kufutia machozi la Marseille lilifungwa na Jordan Ayew dakika ya 90 kwa njia ya penalti baada ya ndugu yake Andrew Ayew kuangushwa kwenye eneo la hatari.


Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments