Open top menu
Jumanne, 3 Septemba 2013


 
Gareth Bale (katikati) akikabidhiwa jezi mpya atakayoivaa atakapoitumikia klabu ya Real Madrid na Rais wa timu hiyo, Florentino Perez, Bale alikuwa na familia yake, mpenzi wake, Emma Rhys Jones na binti yake Alba Violet, kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.

Kutua kwa kiungo mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale imeongeza mara dufu soko la jezi za klabu hiyo sana zile zilizokuwa na jina lake.


Mashabiki wa klabu hiyo wameonekana wakigombania jezi ya staa huyo aliyevunja rekodi ya usajili duniani hivyo kuongeza soko la jezi hizo.



Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments