Open top menu
Jumatatu, 23 Septemba 2013

 
 Wachezaji wa Manchester United wakiwa hoi baada ya kumalizika kwa mchezo huo

 IKIWA ni mara ya kwanza kwa kocha wa Manchester United, David Moyes kukaa kwenye benchi katika mchezo wa Manchester Derby kati ya timu yake na mahasimu wao Manchester City, alikubali kipigo cha mabao 4-1.

Katika mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa mabao ya Manchester City yalifungwa na Aguero dakika ya 16 na 47 Yaya Toure dakika ya 45 na  Samir Nasri dakika ya 50 wakati bao la Manchester United lilifungwa na Wayne Rooney dakika ya 87.
 Yaya Toure wakiweka chini ya ulinzi na Marouane Fellaini na Wayne Rooney
 Wayne Rooney akijaribu kujitoa kwenye msitu wa wachezaji wa Manchester City
 Moja ya heka heka ya langoni mwa Manchester City
 Wayne Rooney, Marouane Fellaini  na Da Gea wakitoka uwanjani wasiamini kile kilichotokea
 Aguero akishangilia na wachezaji wenzake moja ya mabao yake katika mchezo huo
 Patashika katika mchezo wa Arsenal na Stoke City
 Ozil akimtoka beki wa Stoke City

 
MATOKEO KAMILI LIGI KUU ENGLAND JANA

MANCHESTER CITY 4 - 1 MANCHESTER UNITED
CARDIFF CITY 0 - 1 TOTTENHAM HOTSPUR
CRYSTAL PALACE 0 - 2 SWANSEA CITY
ARSENAL 3 - 1 STOKE CITY
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments