Open top menu
Jumapili, 22 Septemba 2013

UPEPO mbaya ndani ya klabu ya Yanga bado unaendelea baada ya leo kukubali kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Azam FC katiuka mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

ushindi huo wa Azam ni sawa na ku;lipa kisasi cha kipigo walichopokea katika mchezo wao wa Ngao ya Jamii ambapo walipigwa bao 1-0.

Mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa ulianza kwa kasi hadi mwisho wa mchezo, mabao ya Azam yalifungwa na John Bocco, Kipre Tchetche kwa njia ya penalti na Joseph Kimwaga wakti mabao ya Yanga yalifungwa na Didier Kavumbagu na Khamis Kiiza.



MATOKEO MENGINE YA LEO

JKT RUVU 0-1 JKT OLJORO
COASTAL 1-0 RUVU

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments