Open top menu
Jumatano, 4 Septemba 2013


Bingwa wa mkanda wa WBF, Mtanzania Francis Cheka anatarajia kuupeleka mkanda wake huo alioupata mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumtwanga kwa pointi bondia wa Marekani, Phill Williams kwenye ukumbi wa Diamond Jubillee.

Cheka ambaye alifanikiwa kutwaa mkanda huyo baada ya kumshinda bondia huyo kwa pointi katika mpambano wa raundi 12 anatarajia kuingia bungeni kesho akiongozwa na Rais wa TPBO, Yasin Ostadh na Promota Mohamed Bawazil na kocha wa mchezo huo, Rajab Mhamila ‘Super D’.

Msafara huo unatarajia kuyingia Dodoma leo jioni tayari kwa kuingia bungeni kesho asubuhi na kuwaonyesha wabunge mkanda huo ambao umeitangaza Tanzania kimataifa katika medani ya masumbwi duniani.

Imekuwa kawaida kwa wanamichezo wanapopata mataji mbalimbali kutembelea bungeni kwa lengo la kuonyesha mataji yao kwa wabunge wa bunge hilo la Tanzania.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments