Open top menu
Jumamosi, 14 Septemba 2013


Mshambuliajiwa Chelsea, Samuel Eto’o akipambana na beki wa Everton, Seamus Coleman (kushoto) katika mchezo wake wa kwanza tangu asajiliwa na klabu hiyo katika usajili wa msimu huu. Eto’o alianza vibaya katika klabu hiyo baada ya timu yake kulala kwa bao 1-0 katika mchezo huo.


Kiungo wa Manchester United, Marouane Fellaini akiwania mpira na Marouane Chamakh wa Crystal Palace katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa kwenye Uwanja wa Old Trafford, Manchester. Fellaini alianza vizuri baada ya timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 yaliyofungwa na Wayne Rooney na Robin van Persie.

Kiungo mshambuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil akiitumikia klabu yake mpya katika mchezo wake wa kwanza dhidi ya Sunderland. Ozil ameanza kwa mafanikio katika klabu hiyo baada ya kuisaidia timu yake kuibuika na ushindi wa mabao 3-1.





Muuaji wa Chelsea, Steven Naismith wa Everton akikwamisha mpira wavuni.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments