Open top menu
Ijumaa, 20 Septemba 2013


MSANII wa nyota wa Afrika Mashariki, Jose Chameleone ameamua kumgeukia Mungu na anatarajia kutoa kibao kipya cha gospel alichokipa jina la ‘Tubonge’.

Chameleone ambaye kwa sasa anatamba na single yake ya badilisha aliandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii kuwa kwa sasa anataka kumgeukia Mungu na kwa kuanza anatoa wimbo huo ambao ni shukrani kwa Mungu.

“Tunamuhitaji Mungu kwa wakati huu. Hasa katika kipindi hiki cha hukumu.” Aliandika Chameleone katika ukurasa wake kuwaeleza mashabiki wake wa muziki duniani kote.

Wimbo huo utakuwa wa pili kwa Chameleone utakuwa ni wa pili wake kwani awali aliwahi kushirikishwa na msanii wa Zambia, Mampi wimbo ulioitwa Nimakwanisa ambao umefanya vizuri sana barani Afrika.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments