Open top menu
Ijumaa, 20 Septemba 2013

HIVI unajua nani aliyedizaini jezi za timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', ni wachache sana ambao wanaweza kutoa jibu sahihi.

Lakini ukweli ni kwanza aliyedizaini jezi hizo amejitambulisha kwa jina Tomas Karume. Kijana huyo ambaye anadai kuwa serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hawajamlipa fedha zake.

Kijana huyo ameamua kushinda kwenye geti la Ikulu akiwa na mabango hadi pale Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete kutoa malalamiko yake juu kwa kupitia mabango hayo.

Kijana huyo alisema kuwa serikali kupitia TFF wamekuwa wakimlipa fedha bwana mmoja aliyeitwa Daniel Hetcher kupitia kampuni yake ya The Edgars Company.

Soma baadhi ya ujumbe aliyoandika kijana huyo kupitia mabango yake.









Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments