MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo imebanwa mbavu na Mbeya City baada ya mchezo huo kumalizika na sare ya bao 1-1. katika mchezo huo uliochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.
Katika mchezo mingine iliyochezwa jana ya Ligi hiyo matokeo yake yalikuwa kama ifuatavyo
COASTAL UNION 0-0 PRISONS
RUVU SHOOTING 1-0 MGAMBO SHOOTING
JKT RUVU 1-0 ASHANTI UNITED
JKT OLJORO 1-1 RHINO RANGERS
AZAM FC 1-1 KAGERA SUGAR
YANGA, AZAM ZABANWA MBAVU UGENINI
 By Unknown
18:40
0 comments
Tagged
Written by Templateify
Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.
.png)
 By 
18:40
0 comments