Open top menu
Alhamisi, 19 Septemba 2013

TIMU ya FC Basle leo usiku imefanikiwa kuchomoka na ushindi dhidi ya Chelsea wakiwa nyumbani kwenye Uwanja wao wa Stanford Brigde baada ya kuichapa timu hiyo mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Chelsea ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza kupitia kwa mshambuliaji wake, Oscar dakika ya 44 ya mchezo huo lakini Basle walifanikiwa kupata bao la kusawazisha dakika ya 70 mfungaji akiwa Mohamed Salah.

Wakati Chelsea kukichachamaa kupata bao la ushindi walijikuta wakipigwa bao la pili dakika ya 81 lililowekwa kimiani na Marco Streller na kuwafanya wageni hao kumaliza mchezo huo wakiwa mbele kwa ushindi wa mabao 2-1.


 


Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments