Open top menu
Jumapili, 15 Septemba 2013


 Gareth Bale akishangilia bao lake la kwanza akiwa na Real Madrid 
 
KIUNGO mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth bale jana naliisaidia timu yake kuondoka na pointi moja katika Mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania dhidi ya Villareal.

Katika mchezo huo ambao ni wa kwanza kwa Bale tangu atue klabuni hapo kwa ada ya uhamisho iliyovunja rekodi lakini pia alifunga bao lake la kwanza akiwa amevalia jezi ya Madrid.

Bale aliifungia Madrid bao la kusawazisha dakika ya 39 baada ya kuwa nyuma kwa bao moja lililofungwa na Cani wa Villareal dakika ya 21. Madrid walipata bao la pili dakika ya 64 lililofungwa na Cristiano Ronaldo lakini Villareal walisawazisha bao hilo dakika ya 70 kupitia kwa Giovani dos Santos.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments