Open top menu
Alhamisi, 19 Septemba 2013

 Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akipongezwa na wachezaji baada ya kuifungia moja ya mabao yake matatu katika mchezo huo

BAADA ya staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo jana kupita hat-trick katika mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Ualaya dhidi ya Galatasaray, mpinzani wake mkubwa, Lionel Messi jana alijibu mapigo baada ya kufunga hat-trick kaika mchezo wa Barcelona dhidi ya Ajax.

Katika mchezo huo ambao Barcelona waliibuka na ushindi wa  mabao 4-0, Messi alifunga mabao yake matatu katika dakika ya 21, 54 na 74 wakati bao lingine la timu hiyo lilifungwa na Gerrald Pique dakika ya 68.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments