Young Killer akipagawisha jukwaani 
 Shilole akifanya vitu vyake kwa wakati za Shinyanga
 Nicki Mbishi sambamba na Joh Makini wakiwakilisha vilivyo 
 Juma Nature kama kawaida alifanya mamboz
 Ney wa Mitego akiwashambulia jukwaa
 Neylee naye hakuwa nyuma 
 Rais wa Manzese, Madee akishika kinasa kuwaimbisha mashabiki wake 
 Linnah akikonga nyoyo za mashabiki wa Fiesta Shinyanga
 Jitamaniakifanya yake jukwaani 
 Linnah kazini 
 Juma Nature na Mabaga Fresh wakishambulia jukwaa
 Rich Mavoko akiwapa radha mashabiki wake 
 Sehemu wa mashabiki waliohudhuria tamasha hilo
 Shilole akimpagawisha mmoja wa mashabiki wake 
Mashabiki nao hawakuwa nyuma kucheza muziki uliokuwa ukiporomosha na wasanii 
.png)
 By 
11:00















0 comments