Open top menu
Jumatano, 18 Septemba 2013




MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, wamefanikiwa kupata bao la kuongoza dakika ya nne ya mchezo kupitia kwa Amissi Tambwe, ambaye aliunganisha vizuri kwa kichwa krosi ya Issa Rashid 'Baba Ubaya'.

Mkoani Kagera, timu iliyopanda daraja msimu huu ya Mbeya City inaongoza kwa bao moja ikiwa ugenini katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

Yanga, ambao ni mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara wako bado mkoani Mbeya wakikipiga na Prisons ya huko, ambapo hadi sasa dakika ya 24 bado ni 0-0.

Tutaendelea kuwaletea matokeo zaidi moja kwa moja kadiri tutakavyokuwa tukiyapata.

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments