Open top menu
Ijumaa, 4 Oktoba 2013



KUONDOKA kwa nahodha wa timu ya Anzhi Makhachkala, Samuel Eto’o imekuwa pigo kwa timu hiyo kwani toka kuondoka kwake imekuwa ikisuasua katika michezo yake na jana iliendelea wimbi la huzuni baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tottenham Hotspur.

Katika mchezo huo wa kundi K katika Ligi ya Europa uliochezwa jijini Moscow nchini Urusi, mabao ya Spurs yalifungwa na Jermain Defoe dakika ya 34 na Nacer Chadli dakika tano baadaye.

Mchezo mwingine wa ligi hiyo ilishuhudia timu ya Swansea ikipata ushindi mwembamba wakiwa nyumbani baada ya kuifunga St Gallen ya Uswizi kwa 1-0 lakini ushindi huo umewaweka kileleni katika kundi A.

MATOKEO YOTE YA MICHEZO YA LIGI YA EUROPA
BORDEAUX      1 - 2  MACCABI TEL AVIV
ELFSBORG       1 - 1  STANDARD LIGE
ESBJERG FB     1 - 2  FC RED BULL SALZBURG
FC CHORNOMORETS ODESA  0 - 2  PSV
LUDOGORETS RAZGRAD         3 - 0  DINAMO ZAGREB
PAOS DE FERREIRA         1 - 1  PANDURII TARGU-JIU
SWANSEA CITY       1 - 0  FC ST GALLEN
WIGAN ATHLETIC   3 - 1  NK MARIBOR
FC DNIPRO       1 - 2  FIORENTINA
APOEL NICOSIA       0 - 3  EINTRACHT FRANKFURT
SEVILLA  2 - 0  SPORT-CLUB FREIBURG
KRC GENK        2 - 1  FC THUN
AZ    1 - 1  PAOK SALONIKA
HNK RIJEKA    1 - 1  REAL BETIS
LEGIA WARSAW      0 - 1  APOLLON LIMASSOL
LYON        1 - 1  VITRIA GUIMARES
SK RAPID WIEN       2 - 2  DYNAMO KYIV
SLOVAN LIBEREC   2 - 1  ESTORIL-PRAIA
TRABZONSPOR        3 - 3  LAZIO
TROMS     1 - 1  SHERIFF TIRASPOL
ANZHI MAKHACHKALA 0 - 2  TOTTENHAM HOTSPUR
RUBIN KAZAN          4 - 0  SV ZULTE WAREGEM
KUBAN KRASNODAR      0 - 2  VALENCIA CF
SHAKHTER KARAGANDY       2 - 2  MACCABI HAIFA

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments