Open top menu
Jumatano, 23 Oktoba 2013

 Wachezaji wa Chelsea wakishangilia bao lililofungwa na Ferdinando Torres katika mchezo wao dhidi ya Schalke 04 jana. Chelsea walishinda mabao 3-0.
 Wachezaji wa Celtics wakishangilia bao lao katika mchezo wao dhidi ya Ajax jana. Celtisc walishinda kwa mabao 2-1.
 Wachezaji wa Napoli wakishangilia bao lao katika mchezo wao dhidi ya  Marseille jana. Napoli walishinda kwa mabao 2-1.

  Kiungo wa AC Milan, Kaka akiwatoka wachezaji wa Barcelona katika mchezo wao uliochezwa jana. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.
 Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akimtoka kiungo wa AC Milan, Sulley Muntari katika mchezo wao uliochezwa jana. Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya bao 1-1.
 Kiungo wa Arsenal, Jack Wilshare akiwatoka wachezaji wa Borussia Dortmund katika mchezo wao uliochezwa jana. Dortmund ilishinda kwa mabao 2-1
 Mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud akifunga bao la kusawazisha katika mchezo wao dhidi ya Borussia Dortmund. Arsenal walilala kwa mabao 2-1.
 Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski
 akiwatoka wachezaji wa Arsenal katika mchezo wao uliochezwa jana. Dortmund ilishinda kwa mabao 2-1
Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Robert Lewandowski
 akifunga bao la pili katika mchezo wao dhidi ya Arsenal uliochezwa jana. Dortmund ilishinda kwa mabao 2-1
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments