Open top menu
Jumanne, 22 Oktoba 2013


LIGI ya Mabingwa Barani Ulaya hatua ya makundi inaendelea leo kwenye viwanja mbalimbali ikishuhudiwa miamba 16 ikishuka dimbani kusaka pointi tatu.

Pamoja na michezo hiyo 16 lakini mechi ambazo zitaangaziwa zaidi ni ile kati ya Arsenal itakayovaana na Borussia Dortmund utakaopigwa kwenye Uwanja wa Emirates wakati mchezo mwingine ni kati ya AC Milan itakapokuwa mwenyeji wa FC Barcelona kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza.

Kikosi cha Jose Mourinho, Chelsea kitakuwa ugenini kuikabili FC Schalke 04 kwenye Uwanja wa Veltins Arena wakati Marseille watakuwa wenyeji wa Napoli katika dimba la Vlodrome.

Ratika kamili ya michezo ya leo hii hapa

Celtic                   v       Ajax                     Celtic Park          3:45 
FC Porto             v       Zenit                    do Dragao           3:45 
Steaua                  v       Basel                    Ghencea              3:45 
Austria Wien      v       Atltico Madrid   Generali Arena   3:45 
Marseille             v       Napoli                 Vlodrome            3:45 
Milan                   v       Barcelona     Giuseppe Meazza      3:45 
FC Schalke 04    v       Chelsea            VELTINS-Arena   3:45 
Arsenal                v       Borussia Dortmund     Emirates     3:45

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments