Open top menu
Jumatatu, 7 Oktoba 2013


TIMU ya magari ya Red Bull pamoja na dereva wake Sebastian Vettel wametoa mfano unaofaa kuigwa wa mchezo wa mbio za magari kwa ustaadi wa dereva huyo na ubora wa gari kwenye mbio za Korea jumapili.

Huu ukiwa ushindi wa mara nne mfululizo na wa nane msimu huu na mara 34 katika kipindi kifupi cha kushiriki mashindano.

Mpinzani wake wa karibu Fernando Alonso wa timu ya magari ya Ferrari aliweza tu kumaliza katika nafasi ya sita na hivyo kumfungulia Mjerumani fursa ya kutangazwa mshindi wa mashindano haya msimu huu wa 2013 kwenye mashindano yatakayofanyika nchini Japanjumapili ijayo.

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments