Open top menu
Jumatatu, 7 Oktoba 2013


MCHEZA tenisi namba moja kwa ubora duniani, Novak Djokovic ameendeleza ubabe wake katika mchezo huo baada ya jana kufanikiwa kutwaa taji la mshindano ya China Open baada ya kumbwaga mpinzani wake, Rafael Nadal.

Katika mchezo huo wa fainali Djokovic ambaye anashikilia nafasi ya kwanza kwa muda mrefu sasa alifanikiwa kuibuka na ubingwa huo baada ya kumshinda Nadal kwa 6 -3, 6 -4.

Hata hivyo licha ya kushindwa Rafael Nadal aanaweza kutangazwa kuwa mchezaji bora wa duniani baadaye kutokana na kufanikiwa kutinga fainali hizo.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments