Open top menu
Jumanne, 15 Oktoba 2013


MSHAMBULIAJI wa Barcelona Lionel Messi amerejea kwenye mazoezi baada ya kukaa nje kwa wiki tatu kutokana na maumivu na anaweza kuanza kuitumia kikosi chake katika mchezo wa Jumamosi wa Ligi Kuu ya Hispania dhidi ya Osasuna.

Mshambuliaji huyo mwenye miaka 26 aliumia kwenye mchezo ambao Barcelona ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Almeria September 28.

Messi mpaka sasa kashatumbukia wavuni mara 8 katika mechi 6 za ligi kuu alizocheza msimu huu na amefunga hat-trick dhidi ya Ajax kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Alikosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Barcelona ilipocheza na Celtic na alikosa mchezo wa La Liga wakishinda dhidi ya Valladolid, pia yupo nje ya kikosi cha Argentina.
Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments