Open top menu
Jumamosi, 5 Oktoba 2013


Mshambulaji wa timu ya Simba, Haruni Chanongo (kushoto), akijaribu kumuacha beki wa Ruvu Shooting, Stephano Mwasyika wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.

TIMU ya Simba jana ilisimamishwa katika safari yake ya ushindi wa michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara baada kulazimishwa sare ya mabao 1-1 na Ruvu Shooting katika mchyezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Ruvu ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Said Dilunga wakati Simba walisawazisha kupitia kwa njia ya penalti iliyopigwa na Amis Tambwe.


Mshambuliaji wa Simba, Betrum Mombeki akijaribu kumiliki mpira katikati ya mabeki wan Ruvu Shooting.

 Kipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akidondoka kushoto huku mpira wa penalti uliopigwa na Tambwe ukijaa wavuni.



COASTAL UNION 0-0 AZAM
MBEYA CITY 2-1 JKT OLJORO
JKT RUVU 2-1 KAGERA SUGAR

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments