Open top menu
Jumatano, 9 Oktoba 2013


BINGWA wa tenini wa Wimbledon, Andy Murray hatashiriki fainali ya mchezo huo kwa msimu huu zilizopangfwa kufanyika mwezi ujao katika jiji la London kutokana na kutokuwa fiti.

Murray bado hajawa fiti toka alipofanyiwa upasuaji mwezi uliopiuta hivyo ameondolewa katika michuano hiyo ambayo ni ya mwisho kwa msimu huu wa tenisi.

"Nimesikitishwa sana baada ya kushindwa kucheza fainali hizo nikiwa mbele ya mashabiki wangu mwaka huu, napenda kucheza nikiwa mebel ya mashabiki wangu wa nyumbani, huku kukiwa na hali ya hewa nzuri,” alisema Murray.

“Wachezaji wote wanaangalia jinsi watakavyofanya vizuri katika mashindano hayo ya London, lakini nawaahidi mashabiki wangu nitafanya vizuri mwakani nitapata nafasi ya kucheza mashindano hayo."

Tagged
Different Themes
Written by Templateify

Aenean quis feugiat elit. Quisque ultricies sollicitudin ante ut venenatis. Nulla dapibus placerat faucibus. Aenean quis leo non neque ultrices scelerisque. Nullam nec vulputate velit. Etiam fermentum turpis at magna tristique interdum.

0 comments